Msomi wa Mali: Mikutano Miwili ya China yatoa ishara ya amani duniani
2022-04-07 10:27:05| CRI

Msomi wa Mali: Mikutano Miwili ya China yatoa ishara ya amani duniani_fororder_VCG111164870804

Natumaini u mzima buheri wa afya msikilizaji na karibu sana kwenye kipindi hiki cha Daraja kinachokujia kila jumapili muda kama huu kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Katika kipindi cha leo msikilizaji, pamoja na habari mbalimbali kuhusu China na nchi za Afrika, tutakuwa na ripoti itakayozungumzia Mikutano Miwili ya China iliyofanyika mwanzoni mwa mwezi uliopita na jinsi inavyotoa ishara ya amani duniani. Pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi.