Kufuata jinsi maumbile yanavyojiendesha kunaleta faida
2022-04-11 14:35:24| CRI

Kufuata jinsi maumbile yanavyojiendesha kunaleta faida_fororder_Hadithi za Jadi

Hii ni sentensi ya ufunguzi kwenye kitabu cha “Maumbile na Mbingu katika Xunzi” ikimasnisha kwamba uendeshaji wa asili una sheria zake. Ukiitikia kwa njia za busara, kutakuwa na matokeo mazuri na ukiitikia kwa mbinu zisizofaa, maafa yatatokea.