Ni furaha kuwa na rafiki kutoka mbali
2023-01-09 15:58:53| CRI

Kufungua mlango na kuwakaribisha wageni ni njia ya Kichina ya ukarimu tangu zamani. Confucius, aliyeishi zaidi ya miaka 2,500 iliyopita, ni mwanzilishi wa falsafa ya Confucius, na msemo wake "Ni furaha kuwa na rafiki kutoka mbali" unajulikana sana nchini China.