Usiwafanyie wengine kile usichotaka kujifanyiwa
2023-01-10 15:23:37| CRI

Wazo la "Kujenga jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja" linatokana na hisia za "ulimwengu" katika ustaarabu wa China. Kutoka mtazamo wa ustaarabu wa "Maelewano lakini tofauti", hadi fikra ya amani ya "Amani ni ya thamani zaidi", hadi maadili ya maisha ya "Usiwafanyie wengine kile usichotaka kujifanyiwa", na kisha kwa mtazamo wa kuangalia dunia wa "Mtu mwenye mafanikio anajali dunia nzima"...... Tunaweza kusema kwamba wazo hilo limerithi jeni muhimu za utamaduni wa Kichina.