Waziri wa mambo ya nje wa China Qin Gang awasili Gabon na kuanza ziara yake
2023-01-12 12:28:59| cri

 

Waziri wa mambo ya nje wa China Qin Gang tarehe 11 aliwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Leon Mba mjini Libreville nchini Gabon, akikaribishwa na mwenzake wa Gabon Michael Moussa Adamo.