Teknolojia ya China yasaidia kuongeza uzalishaji wa kilimo Kenya
2023-01-12 10:49:41| CRI

Ni siku nyingine tunapokutana tena katika kipindi hiki cha Daraja kinachokujia kila jumapili kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Katika kipindi cha leo tutakuwa na ripoti inayohusu teknolojia ya China inavyosaidia kuongeza uzalishaji wa kilimo nchini Kenya, na pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi, na yatamhusu Joseph Maritim, miongoni mwa wanafunzi wa kwanza wa Kenya kupata ufadhili wa masomo nchini China.