Rais Samia Suluhu wa Tanzania atoa salamu za mwaka mpya wa jadi kwa wachina
2023-01-21 17:04:36| cri

Rais Samia Suluhu wa Tanzania, ametoa salamu za mwaka wa jadi wa China kwa wachina wote wakati wanakaribisha mwaka mpya wa jadi wa Sungura.

Rais Samia amesema Tanzania imedhamiria kuendelea kuhimiza urafiki halisi na wenye nguvu, na ushirikiano wa kuhimiza maendeleo ya China na Tanzania.