Wale ambao ni hodari katika kutokomeza maovu hutafuta chanzo cha maovu kwanza; wale ambao ni hodari katika kuponya magonjwa huwa wanakata chanzo cha magonjwa kwanza
2023-02-13 15:38:06| CRI
Huu ni mstari wa shairi alionukuu rais Xi Jinping, akisisitiza kuwa ni lazima kutafuta chanzo cha tatizo kabla ya kulitatua.