Kuporomoka kwa nchi kunasababishwa na viongozi waovu
2023-02-20 15:45:53| CRI

Huu ni msemo wa kale wa Kichina unaomaanisha kuwa ufisadi ni tatizo ambalo linaweza kusababisha kupinduliwa kwa utawala.