Msemaji: Bajeti ya ulinzi ya China ikilinganishwa na Pato la Taifa iko imara kwa miaka mingi na ni chini ya wastani wa dunia
2023-03-04 14:51:46| cri

Bajeti ya ulinzi ya China ikilinganishwa na Pato la Taifa imedumishwa kimsingi kwa miaka mingi. Vilevile iko chini kuliko wastani wa dunia ambapo ongezeko hilo ni sahihi na linafaa.

Hayo ni kwa mujibu wa msemaji wa kikao cha kwanza cha Bunge la 14 la Umma la China, Wang Chao, alipoongea na wanahabari siku moja kabla ya ufunguzi wa kikao hicho cha mwaka.