Rais Xi Jinping wa China ashiriki kwenye mjadala wa wajumbe wa mkoa wa Jiangsu katika Mkutano wa Bunge la Umma la China
2023-03-05 18:12:13| CRI

Rais Xi Jinping wa China Jumapili mjini Beijing ameshiriki kwenye mjadala wa wajumbe kutoka mkoa wa Jiangsu wanaohudhuria Mkutano wa Kwanza wa Bunge la 14 la Umma la China.