Rais Xi azitaka timu za madaktari wa China barani Afrika kutoa mchango mkubwa zaidi katika kulinda afya za watu wa Afrika
2023-03-09 11:36:17| CRI

Natumaini kwa kiashiria hicho unajua kuwa ni kipindi cha Daraja ndio kiko hewani hivi sasa. Kipindi hiki kinakujia kila jumapili kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Katika kipindi cha leo tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi ambayo yatahusu chama tawala cha Kenya UDA na CPC kuendelea kushirikiana kuleta maendeleo katika enzi mpya, lakini pia tutakuwa na ripoti inayozungumzia rais wa China azitaka timu za madaktari wa China barani Afrika kutoa mchango mkubwa zaidi katika kulinda afya za watu wa Afrika.