Waziri wa fedha wa Ethiopia asifu China kwa kuhimiza maendeleo ya ubora wa juu
2023-03-09 08:50:06| CRI

Waziri wa fedha wa Ethiopia Ahmed Shide amesema maendeleo ya ubora wa juu si kama tu  yatainufaisha China, bali pia  yatatoa msukumo kwa maendeleo ya dunia.

Shide amesema, maendeleo ya ubora wa juu ni wazo zuri ambalo linahusisha sekta za teknolojia, maendeleo shirikishi, ya kijani na endelevu, hivyo yanaweza kuweka mazingira ya maisha ya maendeleo endelevu kwa watu.

Ameongeza kuwa, maendeleo yenye ubora wa juu si kama tu  yatahudumia wachina wenyewe, bali pia   yatachangia maendeleo ya dunia kupitia ushirikiano wa kimataifa, ikiwemo Afrika.