Xi Jinping kufanya ziara ya kiserikali nchini Russia
2023-03-17 15:27:49| cri

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya nje Hua Chunying leo ametangaza kuwa kufuatia mwaliko wa rais Vladimir Putin wa Russia, rais Xi Jinping wa China atafanya ziara ya kiserikali nchini Russia kuanzia tarehe 20 hadi 22.