Vipindi maalum vya Mikutano Miwili (3)
2023-03-28 15:46:00| CRI

“Shimo dogo la mchwa linaweza kusababisha bwawa kupasuka, na shimo dogo la sindano linaweza pia kusababisha hewa kutoka.”

Huu ni msemo wa kale wa kichina alionukuu Xi Jinping kwenye majadiliano ya wajumbe wa mji wa Chongqing walioshiriki kwenye Mkutano wa kwanza wa awamu ya 13 ya Bunge la Umma la China tarehe 10, Machi mwaka 2018 ambao unalingana na wa Kiswahili “Usipojenga ufa utajenga ukuta”.