“Uone katika uchanga wake, utambue katika uchanga wake.”
Huu ni msemo wa kale wa kichina alionukuu Xi Jinping alipohudhuria mkutano wa ujumbe wa jeshi la China kwenye kikao cha nne cha Bunge la 12 la Umma la China Machi, 13, 2016.
"Kama mwenendo wako ni sahihi, hata kama hutoi amri, wananchi watatekeleza; ikiwa si sahihi, watu wa kawaida hawatatii hata kama unatoa amri."
Huu ni msemo wa kale wa kichina alionukuu Xi Jinping alipohudhuria mjadala wa ujumbe wa Shanghai kwenye kikao cha tatu cha Bunge la 12 la Umma la China Machi, 5, mwaka 2015.