“Mamia ya boti hushindana kwenye mtiririko wa maji, na yule anayejitahidi kupiga kasia boti lake litakuwa la mbele.” na “Mafanikio yanaanzia kwa matarajio makubwa kwanza, na kazi kubwa zinatimizwa kwa bidii kubwa.”
Hii ni misemo aliyonukuu Xi alipotoa hotuba kwenye vikao vya Bunge la 12 la Umma la China.