Chimba mzizi kwa kina ili mti ukue na majani yawe mengi, jaza mafuta mengi ili taa itoe mwanga mzuri
2023-04-10 16:04:36| CRI

Huu ni msemo alionukuu rais Xi wakati anazungumzia sababu ya kuimarika kwa urafiki kati ya China na Afrika.