Maonesho ya kimataifa ya bidhaa za matumizi ya China yafunguliwa
2023-04-10 09:00:23| cri


 

Maonesho ya 3 ya kimataifa ya bidhaa za matumizi ya China yamefunguliwa leo huko Haikou, Hainan, na inakadiriwa kuwa watu zaidi ya laki 3 watashiriki kwenye maonesho hayo.

Maeneo yaliyooneshwa na chapa zilizoshiriki kwenye maonesho hayo zote zimeongekeza kwa kiasi kikubwa, na biashara ya kielektroniki kati ya China na nchi nyingine inaungwa mkono na China.

Katika maonyesho hayo, maduka makubwa ya manunuzi na maduka yasiyo na ushuru yatatoa punguzo la bei kwa wateja, na kuhimiza uwezo wa matumizi.