NASA: Sampuli ya sayari ya Mars kurejeshwa duniani mwaka 2033
2023-04-16 19:39:57| cri

Wanasayansi wa Shirika la Anga za Juu la Marekani NASA wanafanya juhudi ili kumaliza operesheni ijayo ya uchunguzi wa anga za juu kabla ya siku ya mwisho. Wanaona kuwa wanaweza kurejeshea sampuli ya sayari ya Mars kupitia moduli ya anga ya juu mwaka 2033.