Majira ya baridi hayawezi kuzuia hatua ya majira ya mchipuko, usiku hauwezi kufunika mwanga wa alfajiri
2023-04-24 16:32:24| CRI

Hii ni nukuu aliyotumia rais Xi Jinping alipotoa hotuba maalum kwenye mkutano wa Baraza la Uchumi Duniani DAVOS tarehe 25, Januari mwaka 2021.