Msomi wa Nigeria: Ushirikiano wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja” wanufaisha kihalisi watu wa Afrika
2023-04-27 11:08:09| CRI

Karibu sana kwenye kipindi hiki cha Daraja kinachokujia kila jumapili muda kama huu kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Katika kipindi cha leo msikilizaji tutakuwa na ripoti itakayohusu ushirikiano wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja” unavyowanufaisha kihalisi watu wa Afrika, lakini pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi.