Upepo mwanana kutoka mashariki unakuja na majira ya mchipuko, na kupelekea maua mabichi yachanue
2023-05-02 11:13:21| CRI

Huu ni mstari wa shairi ulionukuliwa na Xi Jinping wakati alipotoa hotuba muhimu katika mkusanyiko wa kusalimiana kabla ya sikukuu ya Spring tarehe 17, Februari 2015.