Chapa za teknolojia za Kichina zapata umaarufu mkubwa nchini Malawi
2023-05-04 10:50:56| CRI

Hujambo msikilizaji na karibu sana kwenye kipindi hiki cha Daraja kinachokujia kila jumapili muda kama huu kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Kipindi cha Daraja msikilizaji huwa kinakuletea habari mbalimbali kuhusu China na nchi za Afrika, lakini pia tuna ripoti itakayohusu chapa za teknolojia za Kichina zapata umaarufu mkubwa nchini Malawi. Katika sehemu ya mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi, tutasikia kuhusu kampuni ya MOJA Expressway inayosimamia utendaji wa barabara ya Nairobi Expressway, yasema kuwa hadi sasa, zaidi ya wateja milioni 12 wametumia barabara hii.