WHO yatangaza kuwa COVID-19 si dharura tena ya kimataifa ya afya ya umma
2023-05-05 22:15:54| cri

Shirika la Afya Duniani WHO limesema janga la COVID-19 halichukuliwi tena kama ni dharura ya kimataifa ya afya ya umma (PHIC)