Mvua kubwa yasababisha vifo vya watu wasiopungua 130 Rwanda
2023-05-06 22:14:40| cri

Mamlaka nchini Rwanda zimesema mvua kubwa zimesababisha mafuriko na maporomoko ya udongo huko Rwanda na Uganda, na kupeleka watu wasiopungua 130 kufariki dunia. Wakati huohuo mazishi ya watu waliofariki yalifanyika tarehe 4 Mei huko Rubavu nchini Rwanda.