Wale walio hodari kutawala nchi, huwa wanainua kamba kuu ya wavu wa uvuvi na kufungua matundu yote
2023-05-08 11:00:40| CRI

Huu ni mstari wa shairi lililotungwa na mshairi wa Enzi ya Tang Bai Juyi, ukielezea kwamba mtawala akitaka wananchi wampende kwa moyo na kumtii kwa hofu, ni lazima achukue hatua kali kwa dhambi kubwa na kusamehe ndogo.