Chombo cha anga ya juu kilichobeba mizigo cha Tianzhou-6 kimefanikiwa kuunganishwa na kituo cha anga ya juu
2023-05-11 09:58:51| CRI
Chombo cha Tianzhou-6 kimewasili katika anga ya juu ya China kikiwa na vifaa vya kufanya utafiti na majaribio kuhusu maisha ya anga ya juu.
Chombo hicho pia kilibeba vyakula kwa ajili ya wana anga watakaotekeleza majukumu mbalimbali katika anga ya juu.