Majaribio ya uendeshaji wa treni ya "Optics Valley Photon" yafanyika mjini Wuhan, China
2023-05-13 22:40:40| cri

Majaribio ya uendeshaji wa treni ya "Optics Valley Photon"yamefanyika mjini Wuhan, China. Mradi huo wa reli ya hewa ya utalii uko katika eneo la maendeleo ya hali ya juu ya Ziwa Mashariki, ukiwa na urefu wa kilomita 26.7, utasaidia utalii katika eneo hilo.