Wanasayansi wa China wagundua nyuzinyuzi za asili za kioo kwenye udongo wa Mwezi
2023-05-14 22:41:43| cri

Wanasayansi wa China wamegundua nyuzinyuzi za asili za kioo kwenye udongo uliokusanywa kutoka kwenye Mwezi, hatua ambayo imeonyesha uwezekano wa kuzitumia nyuzinyuzi hizo kutengeneza vifaa vya kioo vinavyohitajika kwa ajili ya ujenzi wa kituo kwenye Mwezi.