Waziri wa mambo ya nje wa Sierra Leone kufanya ziara nchini China
2023-05-15 18:47:14| cri

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Wang Wenbin amesema, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Sierra Leone Bw. David J. Francis atafanya ziara rasmi nchini China kuanzia tarehe 15 hadi 18 mwezi huu.