Muungwana asisahau hatari nchi inapokuwa tulivu, asisahau kufa nchi inapodumu, na asisahau machafuko wakati nchi iko katika hali nzuri
2023-05-15 12:35:01| CRI
Sentensi hii inamaanisha kwamba mtawala wa nchi anatakiwa kuwa macho wakati wote wa shida na hatari. Ajiandae kwa hatari wakati wa amani, asilegee kamwe na afanye kazi kwa bidii ili aweze kulinda nchi yake.