Rais Xi Jinping wa China na mke wake na wakuu wa nchi tano za Asia ya Kati na wake wao watazama kwa pamoja maonesho ya sanaa mjini Xi’an
2023-05-18 21:51:57| CRI

Rais Xi Jinping wa China na mke wake Bibi Peng Liyuan leo usiku wameandaa sherehe za kuwakaribisha wakuu wa nchi tano za Asia ya Kati na wake wao ambao wamewasili Xi’an kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa China na Asia ya Kati, na kutazama kwa pamoja maonesho ya sanaa.