Kampuni za Tanzania zajipanga kushiriki katika Maonyesho ya Sita ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE)
2023-05-25 13:58:12| CRI

Ni furaha ilioje kuwa nawe tena msikilizaji katika kipindi hiki cha Daraja kinachokujia kila jumapili muda kama huu kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Ripoti yetu leo itahusu kampuni za Tanzania zajipanga kushiriki katika Maonyesho ya Sita ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yatakayofanyika mwezi Septemba mwaka huu. Pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi yanayozungumzia kuhusu Tanzania kuzitaka kampuni kubwa za China kuwekeza nchini humo.