China na DRC zainua ushirikiano kati yao na kuwa ushirikiano wa kimkakati
2023-05-26 22:01:04| cri

Marais wa China na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo leo hapa Beijing wametangaza kuinua uhusiano kati ya nchi zao, kutoka ushirikiano wa kunufaishana na kuwa ushirikiano wa kimkakati wa pande zote.