Watu wawe na uaminifu kama samaki na maji
2023-05-29 10:34:49| CRI

Sentensi hii aliyoinukuu Xi Jinping ina maana kwamba watu wanapaswa kuwa na tabia ya uaminifu, kama vile samaki na maji.