Moduli ya kurejea duniani ya chombo cha anga za juu cha Shenzhou 15 imefanikiwa kutua
2023-06-05 08:34:32| cri

Tarehe 4 mwezi Juni, mwaka 2023, moduli ya kurejea duniani ya chombo cha anga za juu cha Shenzhou 15 imefanikiwa kutua kwenye Uwanja wa Kutua wa Dongfeng mkoani Mongolia ya Ndani, na kuashiria mafanikio kamili ya mradi wa Shenzhou 15.