Chombo cha kusafirisha mizigo cha “Tianzhou-5” chaungana tena na kituo cha anga ya juu cha China
2023-06-06 19:49:51| cri

Ofisi ya mradi wa kupeleka wanaanga katika anga za juu wa China leo imesema, chombo cha kusafirisha mizigo kwenye anga ya juu cha “Tianzhou-.5”, leo kimeungana tena na kituo cha anga ya juu cha China.