Ukitaka kujua usawa na unyoofu, ni lazima utumie kipimo cha kamba; ukitaka kujua mstatili na mviringo, ni lazima upime kwa kutumia bikari
2023-06-19 10:09:34| CRI

Huu ni msemo wa wahenga unaosisitiza nidhamu katika kazi yoyote ile unayoifanya.