Navuta pumzi kubwa ili kufunika machozi usoni, nawalilia watu masikini wanaoishi maisha magumu
2023-06-19 10:22:54| CRI

Mstari huo wa shairi umeonyesha vya kutosha tabia tukufu ya Qu Yuan ya kujali nchi na watu.