Waziri wa Mambo ya Nje wa Zimbabwe asema uwekezaji wa China umechangia ukuaji wa uchumi wa Zimababwe
2023-06-22 10:12:31| CRI

Karibu sana kwenye kipindi cha Daraja kinachokujia kila jumapili kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Katika kipindi cha leo msikilizaji tumekuandalia ripoti inayohusiana uwekezaji wa China unavyochangia ukuaji wa uchumi wa Zimbabwe, lakini pia tuna mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi kuhusu China inbavyoshirikiana na Kenya katika kuisaidia nchi hiyo kuondokana na jangwa.