Mama anashona nguo kwa ajili ya mtoto wake atakayefunga safari ndefu. Mtoto awe na moyo wa dhati wa kumshukuru mama yake.
2023-06-26 17:05:27| CRI

Hili ni shairi maarufu la Enzi ya Tang ambalo alinukuu Rais Xi Jinping wa China wakati wa mwaka mpya wa jadi wa China wa 2015.