Magari kutoka China yapata umaarufu kwenye soko la magari la Angola
2023-06-29 08:59:07| CRI

Ni wakati mwingine tena tunapokutana katika kipindi hiki cha DARAJA kinachokujia kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Katika kipindi cha leo tutakuwa na ripoti inayohusu magari kutoka China yapata umaarufu kwenye soko la magari la Angola. Pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi yaliyoandaliwa na Tom Wanjala.