Waziri wa fedha wa Marekani kufanya ziara nchini China
2023-07-03 17:53:51| cri

Ofisi ya habari ya wizara ya fedha ya China tarehe 3 Julai ilitangaza kuwa, baada ya China na Marekani kujadiliana, waziri wa fedha wa Marekani Bi. Janet L. Yellen atafanya ziara nchini China kuanzia tarehe 6 hadi 9 mwezi Julai.