Familia ni darasa la kwanza kwa watu, na wazazi ndio walimu wa kwanza wa watoto
2023-07-03 15:39:15| CRI

Hii ni nukuu ya Rais Xi akisisitiza mara kwa mara umuhimu wa ujenzi wa nidhamu ya familia.