Rais Xi Jinping wa China atoa salamu za rambirambi kwa mwenzake wa Kenya kutokana na ajali mbaya ya barabarani iliyotokea nchini Kenya.
2023-07-04 22:40:07| cri

Rais Xi Jinping wa China ametoa salamu za rambirambi kwa mwenzake wa Kenya William Ruto kutokana na ajali mbaya ya barabarani iliyotokea nchini Kenya.