Mtu anayejua kutumia ipasavyo elimu anathaminiwa zaidi
2023-07-17 15:14:07| CRI

Hii ni sentensi iliyotolewa na mhenga Wang Chong kutoka enzi ya Han Mashariki, China, akisisitiza umuhimu wa kutumia elimu na sio kuiacha vitabuni tu.