Msomi wa Nigeria: Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” lasaidia nchi nyingi kujitoa kwenye “mtego wa kutokuwa na maendeleo”
2023-07-20 09:18:36| CRI

Karibu tena msikilizaji katika kipindi hiki cha Daraja kinachokujia jumapili muda kama huu kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Katika kipindi cha leo tutakuwa na ripoti inayohusiana na Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” na jinsi linavyosaidia nchi nyingi kujitoa kwenye “mtego wa kutokuwa na maendeleo”. Lakini pia tutakuwa na mahojiano yatakayohusu Maonyesho ya Sabasaba yaliyomalizika hivi karibuni nchini Tanzania na kampuni maarufu za China zilizoshiriki maonyesho hayo na kutoa changamoto kwa kampuni za Tanzania.