Rais Xi Jinping wa Chinaakutana na waziri wa mambo ya nje wa zamani wa Marekani Henry Kissinger.
2023-07-20 14:40:08| cri

Rais Xi Jinping wa China leo hapa Beijing amekutana na waziri wa mambo ya nje wa zamani wa Marekani Henry Kissinger.