Mpango wa mafunzo unaofadhiliwa na China wawawezesha madereva vijana wa treni nchini Ethiopia
2023-07-27 10:19:28| CRI

Karibu tena msikilizaji katika kipindi hiki cha Daraja kinachokujia kila jumapili muda kama huu kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Licha ya habari mbalimbali kuhusu China na Afrika, tutakuwa na ripoti itakayozungumzia mpango wa mafunzo unaofadhiliwa na China wawawezesha madereva vijana wa treni nchini Ethiopia, na pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi.